Uyu Ndiye Msanii Wa Bongo Aliye Fanana Na Agust Alsina
Msanii Ambaye kafanana kabisa na August alsina wa Bongo anaitwa Wildad Ambaye alikua Chini Ya The Industry Ya Producer Mkali Nahreel lakini inasemekana kwa sasa Wildad kajitoa kwenye label iyo Tazama Picha Yake Afu Toa Maoni Yako
Comments
Post a Comment