Maelezo ya msanii T.I.D Kuhusu picha na mwanamke Kitandani.

Baada ya maneno mengi mitandaoni kuhusu picha ya T.I.D. Na mwanamke mmoja kitandani, staa huyu wa bongo fleva ameamua kutoa maelezo juu ya picha ile na mazingira waliyokuwepo wakati inapigwa.
Kupitia Ig yake T.I.D Anasema
“Naomba Nieleweke HiviNamuheshimu huyu Dada na pia naheshimu Familia yake Naona Watu wengi wameamua kuonyesha Jealous zao kupitia Picha ambayo imesambaa kwenye Mitandao,Ukweli ni Kwamba tulikuwa kwenye Kipande cha Video yangu Mpya Inayokuja Soon,so pliz naomba Muheshimu Kazi na Utu wake Kwangu”.

Comments

Popular posts from this blog

Cristiano Ronaldo ametangaza jina la mtoto wake wa Nne

Gigy Money afunguka kupata mtoto