Rapper Rick Ross Amemwambia Birdman Alipe Hela
Birdman Vs lil wayne Ni Beef Kati Ya Baba Na Mtoto ake .Birdman Boss Wa Cash Money Ambaye Ni Baba Ake Wakambo Lil Wayne Alikuja Juu Kwenye Social Network Siku Tatu Zilizo Pita Na Kuwaambia watu Wafunge Midomo Yao Sababu Yeye Ni Baba kwa Lil Wayne Kwa Hiyo Beef KatiYao itaisha Tu. Baada Ya Birdman Kusema Ivo Rick Ross Boss Wa MMG Music Group Aka Tweet Na Kumwambia Birdman Lipa Izo Hela sio Unaleta Porojo Tu..Ata Ivo Birdman Aja Mjibu Bado Rick Ross
Comments
Post a Comment