Bibi Mpishi Wa YouTube

Waswahili Wanakwambia Miaka Ni Namba Tu Hina hesabiwa Ayo Yamesibitishwa Na Bibi Ambaye Amefahamika Kwa Jina La Mastanamma Bibi uyu Wa Kihindi Mwenye Umri wa Miaka 106 Amekua Akiwa Fundisha Watu Kupika Katika Account Yake Ya YouTube Ambayo Alifunguliwa Na Mjukuu Wake Kwa Sasa Bibi Uyo amepata Wafwasi Wengi Kutokana Kwa  kuwapa Mabinti Wa Saivi Ujuzi Ambayo Yeye alifundushwa Na Mama Ake.. Na hii Ndo Link Ambayo na We Unaweza Jifunza Mapishi Ya Bibi Uyu.. https://www.youtube.com/channel/UCKEPJo5eTHbKDgHxvUSR9Jw

Comments

Popular posts from this blog

Cristiano Ronaldo ametangaza jina la mtoto wake wa Nne

Gigy Money afunguka kupata mtoto