Rapper Travis Scott Na Kylie Jenner Wanategemea Kupata mtoto

Rapper Travis Scott amesema Ayo katika jarida la Hollywood news Mjini Las Vegas nakusibitisha yakwamba Kylie Ambaye Ni Mdgo Wa Kim Kardashian Anaujauzito wake kwa Saiv japo Wame date kwa Muda Mchache Tu ata Ivo kasema Amna Beef Kati Yake Na Tyga kutokana na rumors Kuwa wanabeef kisa kylie Jenner

Comments

Popular posts from this blog

Cristiano Ronaldo ametangaza jina la mtoto wake wa Nne

Gigy Money afunguka kupata mtoto