Staa wa soka duniani Cristiano Ronaldo ametumia Insta LIVE kutufahamisha kuwa mtoto wake wa NNE na Wakike anayetarajia kumpata na mpenzi wake Georgina Rodriguez ataitwa Alana Martina . Cristiano Ronaldo anasema “Mimi nimechagua jina la kwanza na mpenzi wake Georgina amechagua la pili, jina la mtoto wangu wa kike litakuwa Alana Martina , Matumaini yangu ni jina zuri”. TMZ Imeripoti kuwa ni takribani siku 23 sasa zimebaki mpaka mtoto huyu kuja duniani Ronaldo ana watoto watatu tayari, Cristiano Ronaldo Junior na mapacha Eva Martia na Mateo
Msanii wa muziki na video vixen Bongo, Gigy Money amesema mwakani anatarajia kupata mtoto. Gigy ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Papa’ ameiambia E Fm Radio kuwa hicho ni kitu ambacho yeye na mpenzi wake wameshakaa na kukijadili . “ Watengemee tu mwakani nitakuwa na mtoto Mungu akinisaidia , yaani hiyo ni lazima ” amesema Gigy Money. Katika hatua nyingine Gigy Money ameongeza kuwa huu ni mwaka wa tatu yupo na mpenzi wake hivyo ni muda sahihi kufanya hivyo .
Ra pper Travis Scott amesema Ayo katika jarida la Hollywood news Mjini Las Vegas nakusibitisha yakwamba Kylie Ambaye Ni Mdgo Wa Kim Kardashian Anaujauzito wake kwa Saiv japo Wame date kwa Muda Mchache Tu ata Ivo kasema Amna Beef Kati Yake Na Tyga kutokana na rumors Kuwa wanabeef kisa kylie Jenner
Comments
Post a Comment