Posts

tengeza hela online kwa kutumia simu yako tu na internet... click link iih http://thedollarpay.com/?id=6929

Hukumu ya shabiki aliyevamia nyumba ya Justin Bieber imetoka

Image
Shabiki Mirabelli Stefania aliyevamia nyumba ya Justin Bieber amekubali kosa alilofanya na jaji kumpa hukumu wiki hii . Mirabelli Stefania amepewa kifungocha siku nane jela na atakuwa chini ya uangalizi mkali wa polisi kwa muda wa miezi 12, hata ruhusiwa kukaribia nyumba ya Justin Bieber. Stefania alikamatwa na polisi akijaribu kuingia kwenye nyumba ya Justin huko Bev Hills, USA wiki iliyopita .

Maelezo ya msanii T.I.D Kuhusu picha na mwanamke Kitandani.

Image
Baada ya maneno mengi mitandaoni kuhusu picha ya T.I.D. Na mwanamke mmoja kitandani , staa huyu wa bongo fleva ameamua kutoa maelezo juu ya picha ile na mazingira waliyokuwepo wakati inapigwa . Kupitia Ig yake T.I.D Anasema “Naomba Nieleweke Hivi … Namuheshimu huyu Dada na pia naheshimu Familia yake Naona Watu wengi wameamua kuonyesha Jealous zao kupitia Picha ambayo imesambaa kwenye Mitandao , Ukweli ni Kwamba tulikuwa kwenye Kipande cha Video yangu Mpya Inayokuja Soon,so pliz naomba Muheshimu Kazi na Utu wake Kwangu ”.

Cristiano Ronaldo ametangaza jina la mtoto wake wa Nne

Image
Staa wa soka duniani Cristiano Ronaldo ametumia Insta LIVE kutufahamisha kuwa mtoto wake wa NNE na Wakike anayetarajia kumpata na mpenzi wake Georgina Rodriguez ataitwa Alana Martina . Cristiano Ronaldo anasema “Mimi nimechagua jina la kwanza na mpenzi wake Georgina amechagua la pili, jina la mtoto wangu wa kike litakuwa Alana Martina , Matumaini yangu ni jina zuri”. TMZ Imeripoti kuwa ni takribani siku 23 sasa zimebaki mpaka mtoto huyu kuja duniani Ronaldo ana watoto watatu tayari, Cristiano Ronaldo Junior na mapacha Eva Martia na Mateo

Gigy Money afunguka kupata mtoto

Image
Msanii wa muziki na video vixen Bongo, Gigy Money amesema mwakani anatarajia kupata mtoto. Gigy ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Papa’ ameiambia E Fm Radio kuwa hicho ni kitu ambacho yeye na mpenzi wake wameshakaa na kukijadili . “ Watengemee tu mwakani nitakuwa na mtoto Mungu akinisaidia , yaani hiyo ni lazima ” amesema Gigy Money. Katika hatua nyingine Gigy Money ameongeza kuwa huu ni mwaka wa tatu yupo na mpenzi wake hivyo ni muda sahihi kufanya hivyo .

Picha: Diamond aweka rekodi Afrika na kupatiwa tuzo, Zari atoa pongezi

Image
Msanii wa Bongo Flava, Diamond Platnumz amepatiwa tuzo na label ya Universal Music Group ( UMG ) hapo jana October 27 mara baada ya wimbo wake Marry You aliomshirikisha Ne -Yo kufikisha mauzo ya platinums sita, hivyo kumfanya kuwa msanii wa kwanza Afrika chini ya label hiyo kufikisha idadi hiyo ya mauzo . Leo nimekuwa msanii Leo nimekuwa msanii wa kwanza wa kiafrika alosainiwa Universal Music Group kufikisha Mauzo ya nyimbo yake Platinum Mara sita Mfululizo kupitia nyimbo ya # MarryYou nilomshirikisha @ Neyo …. kwa niaba ya Team yangu na @ neyo tungependa kuwashukuru Mashabiki na Media zote Ulimwenguni …) # ABoyFromTandale Ujumbe huo aliandika Diamond katika mtandao wa kijamii wa Instagram akielezea furaha yake ya kushinda tuzo hiyo, hata hivyo Baby Mama wake, Zari The Boss Lady naye alimchukua muda wake na kumpongea Diamond kwa kuandika ;. Congrats babe @ diamondplatnumz for becoming the first African Artist signed under Uni...